Disable Preloader

News

Warsha ya Kutengeneza Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa DRMF

Warsha ya Kutengeneza Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa DRMF uliofanyika ndani ya siku mbili katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Seashells Makumbusho. Taasisi inapenda kutoa shukrani za dhati kwa Bw. Leonard Henerico wa MOEST kwa kurasimisha shughuli yetu.

Asante kwa washiriki wote, mchango wenu tunauthamini sana @ Josephine Lyengi PMO, Zainab Kitembe TAMISEMI, Nuru Awadh SHIVYAWATA, Minael Kilimba NEEC, Millen Makundi RC Dar, Salehe Alex TAS, Rhoda Okoch CCBRT, Genarius Ernest YOWDO, Chevawe Kasure AFYACHECKERS, Dr. Hadija Jilala Trustee DRMF.

ASANTENI SANA

Comments
Leave a Comment